VIPINDI VYETU
06:00 AM
MAWIO ANGAVU
Kuwajulisha na
kuwaelimisha wasikilizaji
wetu juu ya mambo
mbalimbali ya kijamii,
kiuchumi, kisiasa na
kiimani. Ili waweze kujua
lipi ni zuri na lipi ni baya na
kuishi kwa maelewano
katika jamii na taifa kwa
ujumla.
09:00 PM
DARSA LA HADITH ZA MTUME
mafundisho
sahihi yanayopatikana
kupitia hadithi za Mtume
Muhammad (saw) ili waishi
kwa kumridhisha Mungu. .
12:00 PM
BARAZANI KWETU
Kipindi maalum kihusucho wanawake na wasichana
katika mafundisho sahihi ya kiislam
na juu ya umuhimu wa malezi yao kwa lengo la kuimarisha jamii
SAA 8 MCHANA
MASOMO YA KIISLAMU
Masomo mbalimbali kuhusiana na elimu ya dini.
21:00 PM
MAFUNDISHO MUBASHARA
Mada mbalimbali za kijamii kwa mtazamo wa mafundisho ya dini tukufu ya Islam.
SAA 1:30 USIKU
KANDANDA MUBASHARA
Taarifa za michezo ya kitaifa na ya kimataifa; pamoja na uchambuzi.
KUHUSU SISI
Radio Ahmadiyya (99.3) ni idhaa ya Kiswahili iliyojikita kutangaza mafundisho ya dini tukufu ya Islam, mwongozo na masuala ya kiroho. Dhamira yetu ni kusambaza ujumbe wa amani wa Islam kwa wasikilizaji wote duniani. Vipindi bora vyatayarishwa kwa lengo la kutoa elimu, kufanya mahubiri na kuunganisha jamii mbalimbali.
Matangazo saa 24/7
Sauti safi inayosikika siku nzima
Yafika Duniani
Ipate ukiwa popote duniani
Vipindi vya Kielimu
Fahamu mafundisho bora ya Islam kutoka kwa wataalamu